7 September 2010
left Ask the Prime Minister

Online interactive forum with the PM
left PM in the Parliament
c

c Budget Speech
c Other Speeches
c PM QT
left Mail Login
left

Click Here to read Mail
left Related Links
left Tender and Vacancy
left Visitors
There have been 87675 visitors to this websiteThere have been 87675 visitors to this websiteThere have been 87675 visitors to this websiteThere have been 87675 visitors to this websiteThere have been 87675 visitors to this website
User online : 3
Latest News

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongozwa na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na Spika wa Bunge Samuel Sitta kuingia kwenye ukumbi wa zamani wa Bunge wa Msekwa ili kuagana na wabunge wa CCM, Mjini Dodoma Julai 16, 2010. Kushoto kwake ni Naibu Spika Anne Anne Makinda
Waziri Mkuu kumwakilisha Rais Kikwete Burundi
Dar es Salaam, 24 August 2010

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda anatarajiwa kuondoka nchini kesho (Jumatano, Agosti 25, 2010) kwenda Bujumbura, Burundi kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo, Bw. Pierre Nkurunziza. Waziri Mkuu Pinda atahudhuria sherehe hizo akimwakilisha Rais Jakaya Kikwete ambaye yuko Kanda ya Ziwa kwenye ziara za kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM).
read more

Waziri Mkuu awaasa vijana wasomi wasikubali kutumiwa hovyo kwenye kampeni
Dodoma, 25 June 2010

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaasa vijana wa vyuo vikuu nchini wasikubali kutumiwa hovyo ili kusababisha uvunjifu wa amani wakati wa kampeni za uchaguzi nchi nzima na badala yake waisadie Serikali kulinda utamaduni na maadili mema ya Watanzania.
read more

Other news
Ofisi ya Waziri Mkuu imeibuka mshindi wa pili katika maonesho ya Nane Nane miongoni mwa Wizara zinazotoa huduma za kijamii zilizoshiriki katika maonesho ya Nane Nane 2010.Maadhimisho...
Read more
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Peniel Lyimo amesema Ukanda wa Kilimo wa Nyanda za Juu Kusini Tanzania (SAGCOT) utaendeleza kilimo kuwa cha tija katika mikoa...
Read more
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mh: Philipo Marmo amezitaka sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kukuza uchumi wa nchi , amesema hayo wakati...
Read more
Headlines

 

More news
Speeches

...

...

More Speeches
Recently Documents

kk Quotes
More Quotes
Videos
Photo Gallery

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Donge, Ali Ameir Mohamed (katikati) na Mbunge wa Kuteuliwa, Hadija Saleh Ngozi, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 2010.
More Photos
Documents and Publications


PM activities: National Ministers in the Prime Minister's Office PM activities: Abroad
r r r r
View Prime Minister activities National Hon.Celina Ompeshi Kombani (MP)
The Minister for State (Regional Administration & Local Governments)
Hon. Philip Sang'ka Marmo (MP)
The Minister for State (Policy & Cordination)
View Prime Minister activities abroad
Help | Disclaimer | Privacy | Site Feedback
Copyrights ©2008-2010, The United Republic of Tanzania, Prime Minister All Rights Reserved
Designed and published by DataVision International (T) Ltd