7 September 2010
left Ask the Prime Minister

Online interactive forum with the PM
left PM in the Parliament
c

c Budget Speech
c Other Speeches
c PM QT
left Mail Login
left

Click Here to read Mail
left Related Links
left Tender and Vacancy
left Visitors
There have been 87676 visitors to this websiteThere have been 87676 visitors to this websiteThere have been 87676 visitors to this websiteThere have been 87676 visitors to this websiteThere have been 87676 visitors to this website
User online : 2
Latest News

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Ghana Hogn Atta Mills kwenye ikul ya Accra Septemba 2, 2010.Mheshimiwa Pinda yuko nhini humo kumwakilisha Rais Jakya Kikwete katika Mkutano wa kujadili mapinduzi ya kijani barani Afrika .
Waziri Mkuu kumwakilisha Rais Kikwete Burundi
Dar es Salaam, 24 August 2010

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda anatarajiwa kuondoka nchini kesho (Jumatano, Agosti 25, 2010) kwenda Bujumbura, Burundi kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo, Bw. Pierre Nkurunziza. Waziri Mkuu Pinda atahudhuria sherehe hizo akimwakilisha Rais Jakaya Kikwete ambaye yuko Kanda ya Ziwa kwenye ziara za kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM).
read more

Waziri Mkuu awaasa vijana wasomi wasikubali kutumiwa hovyo kwenye kampeni
Dodoma, 25 June 2010

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaasa vijana wa vyuo vikuu nchini wasikubali kutumiwa hovyo ili kusababisha uvunjifu wa amani wakati wa kampeni za uchaguzi nchi nzima na badala yake waisadie Serikali kulinda utamaduni na maadili mema ya Watanzania.
read more

Other news
Ofisi ya Waziri Mkuu imeibuka mshindi wa pili katika maonesho ya Nane Nane miongoni mwa Wizara zinazotoa huduma za kijamii zilizoshiriki katika maonesho ya Nane Nane 2010.Maadhimisho...
Read more
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Peniel Lyimo amesema Ukanda wa Kilimo wa Nyanda za Juu Kusini Tanzania (SAGCOT) utaendeleza kilimo kuwa cha tija katika mikoa...
Read more
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mh: Philipo Marmo amezitaka sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kukuza uchumi wa nchi , amesema hayo wakati...
Read more
Headlines

 

More news
Speeches

...

...

More Speeches
Recently Documents

kk Quotes
More Quotes
Videos
Photo Gallery

Waziri Mkuu Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakipokewa na Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta Septemba 2, 2009 kwa ziara ya kikazi nchini humo.
More Photos
Documents and Publications


PM activities: National Ministers in the Prime Minister's Office PM activities: Abroad
r r r r
View Prime Minister activities National Hon.Celina Ompeshi Kombani (MP)
The Minister for State (Regional Administration & Local Governments)
Hon. Philip Sang'ka Marmo (MP)
The Minister for State (Policy & Cordination)
View Prime Minister activities abroad
Help | Disclaimer | Privacy | Site Feedback
Copyrights ©2008-2010, The United Republic of Tanzania, Prime Minister All Rights Reserved
Designed and published by DataVision International (T) Ltd